Beatrice Mwaipaja - Uhimidiwe Lyrics

Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe Yahweh
Uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Uinuliwe baba, uinuliwe eh
Uinuliwe siku zote, uinuliwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Wewe uliumba wala hukuumbwa eh
Unasamehe bwana hauangamizi eh
Mara nyingi huipisha
Hasira yako mbali nami
Hata wakati nakukosea
Unanisamehe eh

Mara nyingi huipisha
Hasira yako mbali nami
Hata wakati nakukosea
Unanisamehe eh

Wewe huketi eh, juu sana eh
Ufalme wako Yesu
Ni wa milele eh
Fadhili zako
Na rehema zako nitazitangaza
Milele, milele nitakuinua ah

Fadhili zako
Na rehema zako nitazitangaza
Milele, milele nitakuinua ah

Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Oh nakupenda Yahweh
Nakupenda eh
Moyo wangu Mungu wangu
Unakuinua ah

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yesu eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Martha Mwaipaja - Wewe Ni Baba Lyrics

Translated to English: See the original Swahili lyrics down the page

Nikitafakari jinsi Mungu (Thinking about how God)
Alivyonipenda mimi (Has loved me)
Nikitafakari jinsi Mungu (Thinking about how God)
Alivyonipenda mimi (Has loved me)

Hata kunidhamini mimi niliyekuwa (Even supporting me when)
Nimedharauliwa na watu (I was despised by the people)
Hata kunidhamini mimi niliyekuwa (Even supporting me when)
Nimedharauliwa na watu (I was despised by the people)

Kweli nimejua Mungu wangu (I really know my God)
Yeye sio mwanadamu (He is not a human being)
Kweli nimejua Mungu wangu (I really know my God)
Yeye sio mwanadamu (He is not a human being)

Kama angekuwa mwanadamu (If he was a man)
Nisingefika leo (I couldn’t be here today)
Kama angekuwa mwanadamu (If he was a man)
Nisingefika leo (I couldn’t be here today)

Maana katika kilio changu (For in my cry)
Wengi walinitenga (Many abandoned me)
Maana katika machozi yangu (For in my cry)
Wengi walinitenga (Many abandoned me)

Sikumuona hata mpendwa (I didn't even see a loved one)
Wa kunifariji (To comfort me)
Sikumuona hata mpendwa (I didn't even see a loved one)
Wa kunifariji (To comfort me)

Nikalia Mungu wangu (I cried to my God)
Mbona umeniacha (Why have you left me)
Nikalia Mungu wangu (I cried to my God)
Mbona umeniacha (Why have you left me)

Mbona umeacha fedheha (Why have you allowed embarrassment)
Katika maisha yangu (In my life)
Mbona umeacha fedheha (Why have you allowed embarrassment)
Katika maisha yangu (In my life)

Mungu wangu akasema (My God said)
Nipo baba mwenye upendo (I’m a loving father)
Mungu wangu akasema (My God said)
Nipo baba mwenye upendo (I’m a loving father)

Maana mimi naitwa baba (For I am called a father)
Kwa wasio na baba (For the fatherless)
Maana mimi ninaitwa mume (For I am called a husband)
Kwa wasio na mume (For the husbandless)

Wewe ni baba mwema kwangu (You are a good father to me)
Wewe ni baba (You are a father)
Wewe ni baba mwema kwangu (You are a good father to me)
Wewe ni baba (You are a father)

Uhimidiwe Mungu wangu (Be blessed be my God)
Wewe ni baba (You are a father)
Uhimidiwe Mungu wangu (Be blessed be my God)
Wewe ni baba ah (You are a father ah)

Wewe ni baba wa watu wote (You are the father of all people)
Naomba tazama watu wako (Please watch over your people)
Wewe ni baba wa watu wote (You are the father of all people)
Naomba tazama watu wako (Please watch over your people)

Ni wengi wanalia (Many are crying)
Wanakuhitaji baba (They need you father)
Ni wengi wanakuta (Many are finding)
Wanakuhitaji Yesu (They need you Jesus)

Tazama wengi ni wajane (See many are widows)
Tazama wengi ni yatima (See many are orphans)
Tazama wengi ni wagonjwa (See many are sick)
Tazama wengi wametengwa (See many forsaken)

Wengine uchumi umekuwa (To others the economy has been)
Ni jangwa kwao (A nightmare to them)
Wengine utasa umekuwa fedheha kwao (To others infertility has become a disgrace)
Watazame ba-a-a-ba (Watch over them father)

Wewe ni baba mwema kwangu (You are a good father to me)
Wewe ni baba (You are a father)
Wewe ni baba mwema kwangu (You are a good father to me)
Wewe ni baba (You are a father)

Uhimidiwe Mungu wangu (Be blessed be my God)
Wewe ni baba (You are a father)
Uhimidiwe Mungu wangu (Be blessed be my God)
Wewe ni baba ah (You are a father ah)

Original lyrics

Nikitafakari jinsi Mungu
Alivyonipenda mimi
Nikitafakari jinsi Mungu
Alivyonipenda mimi

Hata kunidhamini mimi niliyekuwa
Nimedharauliwa na watu
Hata kunidhamini mimi niliyekuwa
Nimedharauliwa na watu

Nikitafakari jinsi Mungu
Alivyonipenda mimi
Nikitafakari jinsi Mungu
Alivyonipenda mimi

Hata kunidhamini mimi niliyekuwa
Nimedharauliwa na watu
Hata kunidhamini mimi niliyekuwa
Nimedharauliwa na watu

Kweli nimejua Mungu wangu
Yeye sio mwanadamu
Kweli nimejua Mungu wangu
Yeye sio mwanadamu

Kama angekuwa mwanadamu
Nisingefika leo
Kama angekuwa mwanadamu
Nisingefika leo

Maana katika kilio changu
Wengi walinitenga
Maana katika machozi yangu
Wengi walinitenga

Sikumuona hata mpendwa
Wa kunifariji
Sikumuona hata mpendwa
Wa kunifariji

Nikalia Mungu wangu
Mbona umeniacha
Nikalia Mungu wangu
Mbona umeniacha

Mbona umeacha fedheha
Katika maisha yangu
Mbona umeacha fedheha
Katika maisha yangu

Mungu wangu akasema
Nipo baba mwenye upendo
Mungu wangu akasema
Nipo baba mwenye upendo

Maana mimi naitwa baba
Kwa wasio na baba
Maana mimi ninaitwa mume
Kwa wasio na mume

Maana mimi naitwa baba
Kwa wasio na baba
Maana mimi ninaitwa mume
Kwa wasio na mume

Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba

Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba
Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba ah

Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba

Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba
Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba ah

Wewe ni baba wa watu wote
Naomba tazama watu wako
Wewe ni baba wa watu wote
Naomba tazama watu wako

Ni wengi wanalia
Wanakuhitaji baba
Ni wengi wanakuta
Wanakuhitaji Yesu

Ni wengi wanalia
Wanakuhitaji baba
Ni wengi wanakuta
Wanakuhitaji Yesu

Tazama wengi ni wajane
Tazama wengi ni yatima
Tazama wengi ni wagonjwa
Tazama wengi wametengwa

Wengine uchumi umekuwa
Ni jangwa kwao
Wengine utasa umekuwa fedheha kwao
Watazame ba-a-a-ba

Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba

Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba
Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba ah

Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba

Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba
Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba ah

Pst Anthony Musembi - Unastahili Na Ni Wewe Lyrics

Translated to English: See the original Swahili lyrics down the page

Unastahili kuabudiwa (You deserve to be worshiped)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)

Unastahili kupewa sifa (You deserve praise)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)
Unastahili kuabudiwa (You deserve to be worshiped)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)

Sema wewe ni Mungu baba (We say you are God the Father)

Unastahili kuinuliwa (You deserve to be elevated)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)
Unastahili kuabudiwa (You deserve to be worshiped)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)

Unastahili kusujudiwa (You deserve to be worshiped)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)
Unastahili kuabudiwa (You deserve to be worshiped)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)

Unastahili kutawala baba (You deserve to reign father)
Wewe ni Mungu Yahweh (You are God the Yahweh)
Unastahili kuabudiwa (You deserve to be worshiped)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)

Sema wewe ni Mungu baba (We say you are God the Father)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)
Sema wewe ni Mungu baba (We say you are God the Father)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)

Milele wewe ni Mungu baba (You are forever God the Father)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)

Sema unastahili kuabudiwa (We say you deserve to be worshiped)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)
Unastahili kuabudiwa (You deserve to be worshiped)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)

Unastahili kuinuliwa (You deserve to be elevated)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)
Unastahili kuabudiwa (You deserve to be worshiped)
Wewe ni Mungu baba (You are God the Father)

Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Ni wewe tunayekupenda (You’re the one we love)
Ni wewe pokea sifa (It's you, receive praise)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Ni wewe tegemeo (We depend on you)
Ni wewe tunakuabudu (It's you, we worship you)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Maishani mwangu sitakuacha (In my life, I’ll never leave you)
Ni wewe, nitakupenda (It's you, I’ll love you)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Msaada wetu ni wewe bwana (Our help is you Lord)
Ni wewe bwana tunakuangalia (It's you Lord, we await you)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Kimbilio letu Jehovah Shamah (Our refuge Jehovah Shamah)
Ni wewe baba, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Ni wewe Jehovah Jireh (It's you Jehovah Jireh)
Ni wewe umetutosha (It's you, you’re enough)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Ni wewe Jehovah Rapha (It's you Jehovah Rapha)
Ni wewe unatuponya (It’s you that heals us)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe Yahweh (It's you, it's you Yahweh)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Ni wewe, ni wewe Yahweh (It's you, it's you Yahweh)
Ni wewe bwana, ni wewe bwana (It's you Lord, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Ni wewe jemadali (It's you General)
Ni wewe bwana, vita ni vyako (It's you, the battle is yours)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)
Ni wewe, ni wewe bwana (It's you, it's you Lord)

Original Lyrics

Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu baba
Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu baba

Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu baba
Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu baba

Unastahili kupewa sifa
Wewe ni Mungu baba
Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu baba

Sema wewe ni Mungu baba
Wewe ni Mungu baba
Sema wewe ni Mungu baba
Wewe ni Mungu baba

Sema wewe ni Mungu baba
Wewe ni Mungu baba

Unastahili kuinuliwa
Wewe ni Mungu baba
Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu baba

Unastahili kusujudiwa
Wewe ni Mungu baba
Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu baba

Unastahili kutawala baba
Wewe ni Mungu Yahweh
Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu baba

Sema wewe ni Mungu baba
Wewe ni Mungu baba
Sema wewe ni Mungu baba
Wewe ni Mungu baba

Milele wewe ni Mungu baba
Wewe ni Mungu baba

Sema unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu baba
Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu baba

Unastahili kuinuliwa
Wewe ni Mungu baba
Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu baba

Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Ni wewe tunayekupenda
Ni wewe pokea sifa
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Ni wewe tegemeo
Ni wewe tunakuabudu
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Maishani mwangu sitakuacha
Ni wewe, nitakupenda
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Msaada wetu ni wewe bwana
Ni wewe bwana tunakuangalia
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Kimbilio letu Jehovah Shamah
Ni wewe baba, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Ni wewe Jehovah Jireh
Ni wewe umetutosha
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Ni wewe Jehovah Rapha
Ni wewe unatuponya
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe Yahweh
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Ni wewe, ni wewe Yahweh
Ni wewe bwana, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Ni wewe jemadali
Ni wewe bwana, vita ni vyako
Ni wewe, ni wewe bwana
Ni wewe, ni wewe bwana

Search Lyrics

Contact Us

Name

Email *

Message *