Beatrice Mwaipaja - Uhimidiwe Lyrics


Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe Yahweh
Uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Uinuliwe baba, uinuliwe eh
Uinuliwe siku zote, uinuliwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Wewe uliumba wala hukuumbwa eh
Unasamehe bwana hauangamizi eh
Mara nyingi huipisha
Hasira yako mbali nami
Hata wakati nakukosea
Unanisamehe eh

Mara nyingi huipisha
Hasira yako mbali nami
Hata wakati nakukosea
Unanisamehe eh

Wewe huketi eh, juu sana eh
Ufalme wako Yesu
Ni wa milele eh
Fadhili zako
Na rehema zako nitazitangaza
Milele, milele nitakuinua ah

Fadhili zako
Na rehema zako nitazitangaza
Milele, milele nitakuinua ah

Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Oh nakupenda Yahweh
Nakupenda eh
Moyo wangu Mungu wangu
Unakuinua ah

Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yesu eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh


Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Uhimidiwe eh, uhimidiwe eh
Kwa ukuu na wingi
Wa rehema zako Yahweh eh
Umejulikana kote uhimidiwe eh

Search Lyrics

Contact Us

Name

Email *

Message *