Martha Mwaipaja - Wewe Ni Baba Lyrics

Translated to English: See the original Swahili lyrics down the page

Nikitafakari jinsi Mungu (Thinking about how God)
Alivyonipenda mimi (Has loved me)
Nikitafakari jinsi Mungu (Thinking about how God)
Alivyonipenda mimi (Has loved me)

Hata kunidhamini mimi niliyekuwa (Even supporting me when)
Nimedharauliwa na watu (I was despised by the people)
Hata kunidhamini mimi niliyekuwa (Even supporting me when)
Nimedharauliwa na watu (I was despised by the people)

Kweli nimejua Mungu wangu (I really know my God)
Yeye sio mwanadamu (He is not a human being)
Kweli nimejua Mungu wangu (I really know my God)
Yeye sio mwanadamu (He is not a human being)

Kama angekuwa mwanadamu (If he was a man)
Nisingefika leo (I couldn’t be here today)
Kama angekuwa mwanadamu (If he was a man)
Nisingefika leo (I couldn’t be here today)

Maana katika kilio changu (For in my cry)
Wengi walinitenga (Many abandoned me)
Maana katika machozi yangu (For in my cry)
Wengi walinitenga (Many abandoned me)

Sikumuona hata mpendwa (I didn't even see a loved one)
Wa kunifariji (To comfort me)
Sikumuona hata mpendwa (I didn't even see a loved one)
Wa kunifariji (To comfort me)

Nikalia Mungu wangu (I cried to my God)
Mbona umeniacha (Why have you left me)
Nikalia Mungu wangu (I cried to my God)
Mbona umeniacha (Why have you left me)

Mbona umeacha fedheha (Why have you allowed embarrassment)
Katika maisha yangu (In my life)
Mbona umeacha fedheha (Why have you allowed embarrassment)
Katika maisha yangu (In my life)

Mungu wangu akasema (My God said)
Nipo baba mwenye upendo (I’m a loving father)
Mungu wangu akasema (My God said)
Nipo baba mwenye upendo (I’m a loving father)

Maana mimi naitwa baba (For I am called a father)
Kwa wasio na baba (For the fatherless)
Maana mimi ninaitwa mume (For I am called a husband)
Kwa wasio na mume (For the husbandless)

Wewe ni baba mwema kwangu (You are a good father to me)
Wewe ni baba (You are a father)
Wewe ni baba mwema kwangu (You are a good father to me)
Wewe ni baba (You are a father)

Uhimidiwe Mungu wangu (Be blessed be my God)
Wewe ni baba (You are a father)
Uhimidiwe Mungu wangu (Be blessed be my God)
Wewe ni baba ah (You are a father ah)

Wewe ni baba wa watu wote (You are the father of all people)
Naomba tazama watu wako (Please watch over your people)
Wewe ni baba wa watu wote (You are the father of all people)
Naomba tazama watu wako (Please watch over your people)

Ni wengi wanalia (Many are crying)
Wanakuhitaji baba (They need you father)
Ni wengi wanakuta (Many are finding)
Wanakuhitaji Yesu (They need you Jesus)

Tazama wengi ni wajane (See many are widows)
Tazama wengi ni yatima (See many are orphans)
Tazama wengi ni wagonjwa (See many are sick)
Tazama wengi wametengwa (See many forsaken)

Wengine uchumi umekuwa (To others the economy has been)
Ni jangwa kwao (A nightmare to them)
Wengine utasa umekuwa fedheha kwao (To others infertility has become a disgrace)
Watazame ba-a-a-ba (Watch over them father)

Wewe ni baba mwema kwangu (You are a good father to me)
Wewe ni baba (You are a father)
Wewe ni baba mwema kwangu (You are a good father to me)
Wewe ni baba (You are a father)

Uhimidiwe Mungu wangu (Be blessed be my God)
Wewe ni baba (You are a father)
Uhimidiwe Mungu wangu (Be blessed be my God)
Wewe ni baba ah (You are a father ah)

Original lyrics

Nikitafakari jinsi Mungu
Alivyonipenda mimi
Nikitafakari jinsi Mungu
Alivyonipenda mimi

Hata kunidhamini mimi niliyekuwa
Nimedharauliwa na watu
Hata kunidhamini mimi niliyekuwa
Nimedharauliwa na watu

Nikitafakari jinsi Mungu
Alivyonipenda mimi
Nikitafakari jinsi Mungu
Alivyonipenda mimi

Hata kunidhamini mimi niliyekuwa
Nimedharauliwa na watu
Hata kunidhamini mimi niliyekuwa
Nimedharauliwa na watu

Kweli nimejua Mungu wangu
Yeye sio mwanadamu
Kweli nimejua Mungu wangu
Yeye sio mwanadamu

Kama angekuwa mwanadamu
Nisingefika leo
Kama angekuwa mwanadamu
Nisingefika leo

Maana katika kilio changu
Wengi walinitenga
Maana katika machozi yangu
Wengi walinitenga

Sikumuona hata mpendwa
Wa kunifariji
Sikumuona hata mpendwa
Wa kunifariji

Nikalia Mungu wangu
Mbona umeniacha
Nikalia Mungu wangu
Mbona umeniacha

Mbona umeacha fedheha
Katika maisha yangu
Mbona umeacha fedheha
Katika maisha yangu

Mungu wangu akasema
Nipo baba mwenye upendo
Mungu wangu akasema
Nipo baba mwenye upendo

Maana mimi naitwa baba
Kwa wasio na baba
Maana mimi ninaitwa mume
Kwa wasio na mume

Maana mimi naitwa baba
Kwa wasio na baba
Maana mimi ninaitwa mume
Kwa wasio na mume

Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba

Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba
Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba ah

Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba

Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba
Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba ah

Wewe ni baba wa watu wote
Naomba tazama watu wako
Wewe ni baba wa watu wote
Naomba tazama watu wako

Ni wengi wanalia
Wanakuhitaji baba
Ni wengi wanakuta
Wanakuhitaji Yesu

Ni wengi wanalia
Wanakuhitaji baba
Ni wengi wanakuta
Wanakuhitaji Yesu

Tazama wengi ni wajane
Tazama wengi ni yatima
Tazama wengi ni wagonjwa
Tazama wengi wametengwa

Wengine uchumi umekuwa
Ni jangwa kwao
Wengine utasa umekuwa fedheha kwao
Watazame ba-a-a-ba

Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba

Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba
Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba ah

Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba mwema kwangu
Wewe ni baba

Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba
Uhimidiwe Mungu wangu
Wewe ni baba ah

Search Lyrics

Contact Us

Name

Email *

Message *